NI JENGO AMBALO LINA UKUMBI ULIOTENGWA MARA SITA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Akizungumza katika uzinduzi huo, rais Kikwete amesema hakuna kuendelea kutegemea kumbi za watu wengine zikiwamo zilizoachwa na viongozi wengine, na ni mfano wa kuonesha kile ambacho CCM imekuwa ikikusanya kuwa kinaweza kufanya vizuri.
Video itaonekana hapa, muda mfupi
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment