. Makundi sasa kwisha,
. Ni katika CCM kutambulisha wagombea,
. Kagasheki asema aliyofanya sasa
mtayaona.
Chama hicho kimetangaza na kutambulisha rasmi wagombea wake
katika manispaa ya Bukoba, katika ngazi ya ubunge na udiwani, ambapo Balozi Khamis
Kagasheki amekabidhiwa bendera ya kugombea ubunge, huku madiwani 14 wa kata za
manispaa nao wakitangazwa.

Katika mkutno huo wa utambulisho, Mh Kagasheki amesema kuwa yaliyokuwa yakibezwa kuwa hakifanya lolote, sasa yataanza kutajwa kwa vitendo kwani wananchi wanayajua, na kamwe yeye hakulenga kuwaletea maendeleo matajiri wenye uwezo bali wananchi wa kawaida ambao hatahivyo hawapati fursa ya kusikika wakifanya ushabiki.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment