MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 4 September 2015

HII NDIYO KAULI YA MKURUGENZI WA NEC KUHUSU KUGOMBEA KASHAI LEO HII


Ni Bwana Ramadhani Kailima ambaye ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyoleta utata, kuwa juzi zilitolewa taarifa kupitia NEC zikawa na mkanganyiko lakini jana jioni wamefanya mabadiliko na kumrejesha Nuruhuda Kabaju kugombea kata hiyo kupitia CHADEMA, sikiliza hapa.

Na Mwanaharakati.

No comments: