Mkurugenzi wa uchaguzi NEC Bw Ramadhani Kailima, amesema kuwa wametangaza rufani za warufani na warufaniwa mbalimbali, hivyo atatoa ufafanuzi zaidi kuhusu taarifa inayotajwa kuleta utata katika manispaa ya Bukoba, lakini akasema kuwa yeye kama mkurugenzi hana taarifa za kutoa barua kama inayotajwa kusambazwa manispaa ya Bukoba kuhusu mgombea wa Kashai.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment