MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 1 September 2015

SIKILIZA NA USOME ALICHOSEMA DR. SLAA

. Hakuwa likizo yoyote,
. Hakutaka propaganda,
. Aliandika barua ya kujiuzulu wakakataa.
. Amestaafu siasa lakini ni mtanzania.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari katika hoteli ya Serena Dar es salaam, Dr Wilbrod Slaa, amesema kuwa maneno yake ni yakweli, hana hila na nafasi ya urais kwasababu hakuwahi kuchukua form ya kugombea, ila amekataa propaganda za kuwadanganya watanzania kupitia CHADEMA.

Na Mwanaharakati.

No comments: