Kamanda wa polisi
mkoani Kagera Augustino Ollomi, ameueleza mtandao huu kuwa askari wa polisi
kitengo cha upelelezi amefariki kwa ajali ya pikipiki, huku watu 37 wakishikiliwa
na polisi mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya uchomaji makanisa
saba mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment