. Yasema wataoneshwa kwa utaratibu wa kisheria,
. Muda wa vyama kupata nakala bado upo,
. Kifo cha Mtikila hakiwezi kuathiri uchaguzi.
Mwenyekiti wa tume ya taifa ya
uchaguzi NEC jaj mstaafu Damian Lubuva,
amesema hay oleo katika mahojiano maalumu na moja ya chombo cha habari hapa Tanzania,
kuwa vyama visubiri utaratibu ambao umekuwa ukifanyika uendelee kufanyika kama
walivyokubaliana, tofauti na kutumia majukwaa na press kuiagiza tume katika
mambo ambayo haiwezi kukubaliana nayo kupitia kwao.
Hatahivyo jaj Lubuva, amesema
kuwa matokeo yatatangazwa haraka au mapema iwezekanavyo kadri hali
itakavyoruhusu lakini siyo ndani ya saa kumi kama inavyoelezwa, huku akisema
kuwa tume inatoa onyo kwa vyama vyote bila kutaja chama kwani vyama vyote
vimefanya makosa na vyote vimeleka malalamiko yao kwenye tume hiyo na
kushughulikiwa kwa uswa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment