Taarifa iliyoufikia Mtandao huu zinasema kuwa idadi ya vijana ambayo haijafahamika walikuwa wakichimba mchanga nje kidogo ya manispaa ya Bukoba ghafla jiwe likaporomoka na kusababisha udongo kumeguka na kuwafukia.
Vyombo vya usalama na uokozi manispaa ya Bukoba vimejulishwa na vinaelekea kwenye tukio tutakuletea undani wake ingawa taarifa za awali ni kwamba mmoja amefariki dunia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment