MPYA:SERIKALI YAZUIA MATUMIZI YA FEDHA KUANDAA VIKAO NCHINI
Serikali kupitia ofisi ya rais utumishi wa umma,
imesitisha utaratibu wa kuandaa mikutano ya serikali kwaajili ya kubana
matumizi, na badala yake imeanzisha utaratibu wa kufanya mikutano kwa njia ya
TEHAMA
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment