Chama cha
demokrasia na maendeleo CHADEMA, kimetoa ufafanuzi na namna kifo cha mwenyekiti
wa chama hicho mkoani Kilimanjaro kilivyotokea.
Akizungumza
na waandishi wa habari mjini Dodoma, mwenyekiti wa chama hicho taifa Freeman Mbowe,
amesema kuwa ni kifo cha ghafla kwasababu juzi marehemu alitokea mkoani Dodoma na
asubuhi ya leo alimwita meya wa jiji la Arusha kwa lengo la kujadili naye suala
la waliopata ajali katika shule ya Lucky Vicent, ambapo Philimon Ndesamburo
alizidiwa ghafla kabla mazungumzo yao kukamilika...SIKILIZA HAPA
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment