Rais
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, ameiagiza TRA kuyafuta makampuni
yanayosumbua katika ulipaji kodi, badala ya kuyatoza faini.
Rais
Dr. John Magufuli, amesema kuwa hakuna mamlaka kuogopa wafanyabiashara wasio
waadilifu na wanaolisababishia taifa hasara, kwani hata kwa Mungu kulikuwa na
watoza ushuru na kumlazimu Yohana kuagiza ya Mungu apewe Mungu na ya Kaizari
apewe Kaizari.
Amesema
kuwa walipa kodi na wanaolipwa inabidi waishi kwa raha, ila kama walipa kodi
wanataka sheria zibadilishwe, zinaweza kubadilishwa kwani bunge lipo kwa ajili
hiyo, ingawa wawe tayari kupambana na maamuzi magumu baada ya mabadiliko hayo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment