Mitihani ya kidato cha sita imekamilika leo kitaifa ambapo
mkoa wa kagera umethibisha kuwa mtihani huo umemalizika salama bila kuwepo udanganyifu wa aina
yoyote.
Afisa Elimu mkoa wa Kagera Aloyce Kamamba amesema kuwa kwa mujibu wa taratibu, mitihani yote
imefanyika salama na mpaka sasa kamati ya mtihani ya mkoa imesema hakuna tukio
lolote ambalo limepokelewa kwamba kuna udanganyifu wowote ambao umefanyika
katika kituo chochote mkoani humo.
VIDEO YA AFISA ELIMU MKOA KAGERA
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment