MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 23 May 2017

VIDEO; SIMANZI ZATANDA,MAREHEMU KUZIKWA MAKABURI YA KISHENGE LEO MCHANA




May 21 mwaka huu manispaa ya Bukoba imepata pigo la kumpoteza dereva maarufu na mchezaji wa zamani wa timu ya Balimin Fc Badru Kaitaba,ambapo amefariki akiwa Bugando hospital alipokuwa kwa ajili ya matibabu.

Madereva na wadau mbalimbali wa mkoa wa Kagera leo wameungana katika mapokezi ya mwili wa marehemu Badru ambapo mazishi yanatarajia kufanyika kesho katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya mazishi mjini Bukoba{Kishenge}






TAZAMA MAPOKEZI YALIVYOKUA…………………………………………………………



Na Mwanaharakati.

No comments: