. Kamati yabaini makontena zaidi ya 61,000 kuwa na wastani wa kilo 28 kila kontena.
Katibu mkuu kiongozi balozi John
Kijazi, amesoma hadidu za rejea juu ya kazi walioteuliwa na rais kuifanya,
ambapo pamoja na mambo mengine, walitakiwa kurejesha taarifa za upembuaji wa
makinikia.
Wajumbe wa kamati hiyo ni wanane Prof
Nehemia Aliakimu, Prof Lovinus Kyaruz Rutasitara, Oswad Mashindano, Casmir
Kiuki, Andrew Wilson Massawe, Gabriel Pascal, Benard Asubisye, Bi. Butamo Philp.
Kamati hiyo iliteuliwa na rais tarehe
29/03/2017, kuchunguza masuala ya kisheria kwenye makinikia kuanzia mwaka 1998
hadi mwaka 2017.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment