MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 12 June 2017

WALIOKUWA MAWAZIRI WA NISHATI NA MADINI KAMATI YAAGIZA KUSHITAKIWA



Kamati iliyoteuliwa na rais tarehe 29/03/2017, kuchunguza masuala ya kisheria kwenye makinikia kuanzia mwaka 1998 hadi mwaka 2017, imetoa mapendekezo ya kuwafungulia mashiataka waliokuwa mawaziri na viongozi wengine waliohusika katika mikataba ya madini tangu mwaka 1998.

Hatahivyo imependekeza kuendelea kupigwa marufuku usafirishaji wa makontena, sheria iongeze adhabu kwa wanaokutwa na makosa, kupiga marufuku viwanja vya ndege kwenye maeneo ya migodi.

Na Mwanaharakati.

No comments: