Kutokana na mapendekezo yaliyotolewa na mwenyekiti wa kamati ya wanasheria na uchumi wa kuchunguza makinikia kwenye makontena ya mchanga wa dhahabu, rais Magufuli ameridhi mapendekezo hayo 20 na kuwa hatua zianze kuchukuliwa mara moja.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment