MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday 20 July 2017

NKURUNZIZA ALIVYOPOKELEWA WILAYANI NGARA


 

Baada ya mazungumzo hayo, marais hao watajumuika na viongozi mbalimbali wa nchi hizo mbili pamoja na waandishi wa habari, kwa ajili ya mazungumzo ya wazi na kueleza nini kimefanyika ndani ya mazungumzo ya faragha.

Baada ya mazungumzo na chakula cha mchana, rais John Pombe Magufuli atahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya posta wilayani Ngara.
Na Mwanaharakati.

No comments: