MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday 19 July 2017

VIDEO; WAFUGAJI KAGERA KWISHA, DC ALIYEPOTEA APONGEZWA

Katika operesheni ya kuondoa mifugo kwenye hifadhi mkoani Kagera, maelfu ya mifugo yalikamatwa na nyingine kulazimu wamiliki wake kufikishwa mahakamani, ilhali wamiliki husika wakilalamikia kuonewa katika operesheni hiyo mapema mwaka huu.

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Joh Pombe Magufuli, amekwishapokea taarifa mbalimbali za namna huondoaji huo chini ya mkuu wa mkowa wa Kagera kanali mstaafu Salum Kijuu ulivyotekelezeka, kwamba wahusika walionewa, na kumlazimu kuibuka na kauli hii nzito ambayo wafugaji wasipokuwa makini wanaweza kufirisika.

Hatahivyo rais amempongeza mkuu wa wilaya ya Karagwe Bw. Mweruka aliyepotelea msituni na kamati yake ya ulinzi na usalama, wakati wa msako wa mifugo.

Na Mwanaharakati.

No comments: