MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday 20 July 2017

FARAGHA YA MARAIS WA TANZANIA NA BURUNDI JUU YA UWEKEZAJI

Baada ya rais Pierre Nkurunzinza kupokelewa katika uwanja wa Lemela wilayani Ngara asubuhi ya leo, wamekutana kwa faragha na kujadili mstakabali wa mahusiano kibiashara na utekelezaji wa maazimio wanayojiwekea.

Rais amewaeleza viongozi na waandishi wa habari kuwa wanafanya uwekezaji na ujenzi wa reli standard gauge hiv karibuni,  ambavyo Nkurunziza amesema kuwa muda wa kufanya mchezo umekwisha, kwani watoto wa mataifa haya mawili wanatakiwa kupata njia bora ya maisha.


Na Mwanaharakati.

No comments: