Nicolaus Mac (None Association Movement)
KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)
Thursday, 20 July 2017
AUDIO; RAIS WA BURUNDI AWATAKA WAKIMBIZI WALIOKO TANZANIA KURUDI KWAO
Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa rais Magufuli wilayani Ngara, Nkurunziza amesema kuwa hali imeimarika hivyo hakuna sababu ya watu hao kuendelea kuwa wakimbizi, na waache kusikiliza maneno ya wachochezi.
Naye rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemwagiza waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Mwigulu Nchemba, kuacha kutoa uraia kwa wakimbizi, na kuwashauri wakimbizi walioko hapa nchini kuondoka kwa hiari. Ameyataka mashirika kuacha kuwahubiri wakimbizi kuwa Burundi kuna matatizo.
No comments:
Post a Comment