MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday 19 July 2017

YANAYOJIRI ZIARA YA RAIS KAGERA WENYE VITUO VYA MAFUTA KUFUTIWA LESENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. john Pombe Magufuli, amesema kuwa ni muhimu watanzania kukumbuka historia ya miundombinu ya nchi, ili kuweza kutunza miradi mipya inayotekelezwa na serikali.

Amesema hayo muda mfupi ktk mkutano unaendelea katika kituo cha mabasi Biharamulo, wakat wa ufunguzi wa barabara ya Kagoma- Biharamulo na Lusaunga iliyojengwa kwa shilingi bilioni 190.4 ikiwa na km 154.

Ametoa siku 14 kwa wenye vituo vya mafuta ambao hawana mashine za EFDs kufungiwa.
Na Mwanaharakati.

No comments: