MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 18 August 2013

FAINALI KOMBE LA KAGASHEKI BUKOBA, BILELE YAIBUKA BINGWA

Timu 14 za kata zote manispaa ya Bukoba zimeweania ushindi huo lakini hatimaye limenyakuliwa na kilometa 0, mshindi wa pili ambaye ametolewa na Bilele, ni Rwamishenye iliyojinyakulia milioni3 kwa bao 4-3 za Penati, baada ya kumalizika muda wa nyongeza dk 30.

Mshindi wa 3 imechukuliwa na timu ya Kitendaguro almaarufu Makhirikhiri, ambao wamejinyakulia milioni 1.5 baada ya kuitoa Kashai kwa bao 3-1.

Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Balozi Hamisi Kagasheki, ameahidi kuendeleza mashindano hayo kila mwaka, huku akiwashukuru wanajimbo waliotoa ushirikiano wao kuhakikisha timu zinafika uwanjani na kushiriki.
MWANA HARAKATI

Wednesday, 14 August 2013

WATU 30 WANASADIKIWA KUFARIKI BAADA YA POLISI KUANZA KUTAWANYA WAANDAMANAJI WANAOMUUNGA MKONO MOHAMED MORS


CAIRO (Reuters) - Egyptian security forces killed at least 30 people on Wednesday when they moved in to clear a camp of Cairo protesters demanding the reinstatement of deposed President Mohamed Mursi, his Muslim Brotherhood movement said.
There was no official confirmation of the death toll at Rabaa al-Adawiya, in northeast Cairo, where thousands of Mursi supporters have staged a six-week sit-in that caused the army acute embarrassment since it ousted the elected leader.
A second camp near Cairo University was swiftly cleared in the early morning.
The operation, which suggested that the powerful military had lost patience with persistent protests that were crippling parts of the capital and slowing the political process, began just after dawn with helicopters hovering over the camps.
Gunfire rang out as protesters, among them women and children, fled Rabaa, and clouds of black smoke rose into the air. Armored vehicles moved in beside bulldozers which began clearing tents. One witness saw 15 bodies at a field hospital.


MWANA HARAKATI

KONGAMANO LA WANAHABARI NA WADAU MKOANI KAGERA

Katika kongamano hilo ambalo limefanyika katika manispaa ya Bukoba, ambapo wanahabari wameshauriwa kushirikiana na wadauili kupata habari sahihi pamoja na kujikita zaidi kuandika au kutangaza habari zinazoibua hoja mbalimbali kwenye jamii.

MWANA HARAKATI

Tuesday, 13 August 2013

CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA KIMEPELEKA PENDEKEZO LA KUWAFUKUZA MADIWANI 8 WA CHAMA HICHO KATIKA MANISPAA YA BUKOBA

Kauli ya katibu wa chama hicho mkoa bwana AVERIN MUSHI, alipozungumza na waandishi wa habari, amesema kuwa wamefikia uamuzi wa kuwafukuza kimkoa, na kupeleka pendezo taifa ili hatua hiyo ipewe baraka.

Hatua hizo zinafuatia baada ya kuwepo makundi mawili ya madiwani waliosimamishwa wakipinga utendaji wa meya ANATOR AMANI na wengine wakimuunga mkono katika maamuzi ambayo hatahivyo yanalalamikiwa na wananchi kuhusu miradi ya maendeleo.

MWANA HARAKATI

BARAZA LA HABARI LA TAADHARISHA VYOMBO VYA HABARI NCHINI



MWANA HARAKATI

Sunday, 4 August 2013

BAADA YA HALMASHAURI KUZINDULIWA NA KUGAWANA WAFANYAKAZI, WANANCHI WAZUNGUMZA

Wananchi wilayani Kyerwa mkoani Kagera, wamesema kuwa wamesubiri utekelezaji wa viongozi kuwa tayari wameshajitenga kutoka Karagwe, hivyo viongozi waliopangiwa huko watekeleze kazi zao kwakufuata maadili na sheria za nchi.

Wamesisitiza kuwa bado wanakabiliwa na suala la miundombinu, ambayo hatahivyo ni pamoja na barabara, zahanati, umeme na maji, ambavyo bila kupatikana kwake haitaweza kuendelea kama halmashauri zingine.

Katika upande mwingine, wapo wananchi wanaomlalamikia mbunge wa jimbo hilo kuwa tangu ameingia madarakani hajawai kutembelea eneo hilo hadi alipofika rais, na pia amejenga shule kwenye eneo alilopenda yeye, wakinukuu kama hakuwalenga wananchi bali ni kwa maslahi binafsi.

MWANA HARAKATI

RAIS ROBERT MUGABE ASHINDA KUONGOZA KWA MUHULA WA SABA

Inamaanisha ZANU-PF ina viti vya kutosha kuweza kubadilisha katiba.
Mpinzani mkuu wa ZANU-PF, chama cha MDC, kimekuwa na kikao kuamua mikakati ya siku za usoni.
MDC inasema haitakubali matokeo ya uchaguzi kwa sababu ya udanganyifu mkubwa katika upigaji kura.
MWANA HARAKATI

Thursday, 1 August 2013

IDADI KUBWA YA MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA YAWASILISHA BARUA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MEYA WA MANISPAA HIYO.

 Inasemekana ni madiwani 15 wa manispaa hiyo kutoka vyamba tofauti vya CHADEMA Mch Mlaki ,Dismas Lutagwelera, mama Mkono, CCM Deus Mtakyawa, Yusuph Ngaiza, Richard Gasper, Mulungi Kichwabuta, Kalumuna, Rwangisa, Ngalinda, Robert Katunzi na CUFBigambo, Mabruck na Rabia.
MWANA HARAKATI

MKUU WA MKOA WA KAGERA, ATANGAZA DAU KWA WATAKAOTOA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU

 Kanali Massawe, ametangaza dau hilo, alipokuwa akitoa tamko la utekelezaji wa maagizo ya rais wa Tanzania Jakaya Kikwete, aliyeagiza uongozi wa mkoa kutekeleza masuala kadhaa yaliyoonekana kuzembewa katika utekelezaji, hivyo kuagiza kutekelezwa haraka iwezekanavyo na rais apewe taarifa.

 Miongoni mwa maagizo hayo ni pamoja na linalohusu wahamiaji haramu, rais alipotoa wiki2 kwa wanomiliki silaha, wahamiaji haramu na majambazi kuzisalimisha silaha, kuondoka na kuacha kazi ya ujambazi akisitiza kuwa baada ya siku hizo 14, serikali itafanya operation kali katika mikoa mitatu inayoongoza kwa mambo hayo, ambayo aliitaja kuwa Geita, Kagera na Kigoma.
Katika agizo la rais, mkuu wa mkoa amesema mtu atakayefanikisha taarifa hizo atapewa laki moja, ambapo kuhusu viwanja 800 kwa wananchi waliolipia mwaka 2000, wapewe maramoja ndani wiki 1.
MWANA HARAKATI

Picha yangu la rais Kikwete baada ya ziara yake mkoani Kagera.

 Picha chini aliyesimama na tabasamu ni Kibuka Prudence wakati wanausalama wakinifuatilia kwa makini katika kupeana mkono na rais Kikwete.


MWANA HARAKATI