MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 31 January 2014

BREAKING NEWS!!!!!!! BINTI ATELEKEZWA NYUMBANI KWA KIGOGO

 Taarifa na maelezo yake yanasema kuwa alikuja nyumbani kwa kigogo na mtoto huyo, ambapo walilala pamoja ndani na kufanya yaliyowezekana lakini alipostuka asubuhi binti huyoalijikuta peke yake ndani ya chumba na cha ajabu walinzi ambao ni askari polisi, walianza kumtimua.
Amesema kuwa kijana huyo hamjui jina lakini akimwona anamtambua sura ambapo wakati tunaanza kufatilia taarifa hii, usalama wa taifa walipigiwa simu na kumchukua mara moja ili kuondoa aibu kwa kigogo huyo, karibu kabisa na makaazi ya mkuu wa mkoa.
MWANA HARAKATI

ABAMBWA AKIWA UCHI

Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijstambulika, amenudurika kuawa baada ya kukamwatwa na wananchi akiwa uchi huku akizubguka katika makaazi ya watu kata Hamgembe manispaa ya Bukoba.

Kamanda wa polisi mkoani Kageta SACP GEORGE MAYUNGA, amesema kuwa hajapokea taarifa rasmi kuhusu tukio hilo lakini akakiri kuwapo kwake na akasema polisi inamshikilia kwa uchunguzi zaidi, tutakuletea undani wa habari hiyo.

MWANA HARAKATI

Thursday, 30 January 2014

CCM YAZINDUA MAAZIMISHO MIAKA 37 BUKOBA




 Vijana wasanii wa kizazi kipya wametumbuiza na kusisitiza umoja kama nyenzo za maendeleo huku wakimshauri mbunge huyo kuwa tenda wema nenda zako wanadamu hawana shukrani.


CCM imezindua maazimishohayo ikiwa ni siku moja baraza la madiwani manispaa hiyo likiwa limewekewa pibgamizi kwa baadhi ya madiwani kutoudhuria, hivyo bajeti ya mwaka 2014/15kutojadiliwa

Wednesday, 29 January 2014

SHEKH AFARIKI DUNIA



Taarifa zinasema kuwa aliyekuwa Sheikh mkuu wa mkoa wa Mara Othman Magee,amefariki dunia usiku huu akiwa katika matibabu hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam ambako alikuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya kibofu. 

Awali marehemu Sheikh Othman Magee alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando na ugonjwa ulipomzidia alihamishiwa Muhimbili.


Shughuli mbalimbali na taratibu za mazishi zimeanza kufanyika nyumbani kwake mtaa wa Kennedy kata ya Mviringo, Musoma mjini ambapo mazishi yanategemewa kufanyika kesho kutwa mjini humo.

INNALILLAHIWAINNAILAIHIROJIUN.
 


MWANA HARAKATI

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA MAFUNZO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WA MWAKA 2014



MWANA HARAKATI

MAAJABU MAKUBWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


WATU wasiofahamika wamefukua kaburi la Rosa Kikwe, aliyefariki dunia mwaka 2005 na kuchukua mfupa wake wa uti wa mgongo, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Jeshi la Polisi Wilaya ya Bunda, limethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea juzi, katika Kijiji cha Kihumbu, Kata ya Hunyari. Ilielezwa usiku wa tukio hilo, watu hao walifukua kaburi alimozikwa mwanamke huyo, bila ya ndugu wa marehemu kuwa na taarifa yoyote. Ofisa mmoja wa polisi, ambaye hakupenda kutaja jina lake kwa sababu si msemaji, alisema baada ya watu hao kuchukua kiungo hicho, walilifukia tena kaburi hilo na kisha wakatokomea kusikojulikana.“Watu wasiofahamika walifukua kaburi la mwanamke huyo aliyefariki dunia mwaka 2005 na kuchukua...


MWANA HARAKATI

MAZISHI YA MSANII DUDE YAFANYIKA NYUMBANI KWAO MWANZA



Juu ni wakati wa kuusitiri mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto al maarufu kwa jina la Mzee Dude, katika makaburi ya Iloganzala wilayani Ilemela jijini Mwanza.

picha na g sengo
MWANA HARAKATI

Tuesday, 28 January 2014

MAHAKAMA YAWEKA ZUIO KWA MADIWANI KUFANYA BARAZA MANISPAA YABUKOBA

MWANA HARAKATINi ada yadiwaniwa Kahoro Chief Kalumuna kufungua kesiinayopinga madiwani tisa kuudhuria katika kikao hicho.
Taarifa zilizoifikia harakati kwykandayaziwaleo zinasema kuwamalalamiko yamenikuhusu madiwani hao waliwahi kusimamishwakwasikutatubadaya kushindwa kuudhuria vikao vitatuhivyowakiudhuria kikao chakesho nibatili.
Hatua hiyo inakuja siku chache bada yataarifaza CAG kuonesha uiofanyikakatikamanispaa yahiyowakatiwa utekelezaji miradikadhaa na kumuamulu aliyekuwa Meya ajiuzulu lkn madiwani waliosalia walikuwa wamesharidhia kushirikiana kufanya vika.

MWANAMUZIKI PETER SEEGER AFARIKI NCHINI MAREKANI

NEW YORK— Pete Seeger, the banjo-picking troubadour who sang for migrant workers, college students and star-struck presidents in a career that introduced generations of Americans to their folk music heritage, died Monday at the age of 94.
 


Seeger's grandson, Kitama Cahill-Jackson said his grandfather died peacefully in his sleep around 9:30 p.m. at New York Presbyterian Hospital, where he had been for six days. Family members were with him.
"He was chopping wood 10 days ago," Cahill-Jackson recalled.
Seeger — with his a lanky frame, banjo and full white beard — was an iconic figure in folk music. He performed with the great minstrel Woody Guthrie in his younger days and marched with Occupy Wall Street protesters in his 90s, leaning on two canes. He wrote or co-wrote "If I Had a Hammer," ''Turn, Turn, Turn," ''Where Have All the Flowers Gone" and "Kisses Sweeter Than Wine." He lent his voice against Hitler and nuclear power. A cheerful warrior, he typically delivered his broadsides with an affable air and his banjo strapped on.
"Be wary of great leaders," he told The Associated Press two days after a 2011 Manhattan Occupy march. "Hope that there are many, many small leaders."

MWANA HARAKATI